90听音乐网 www.90T8.com
Niache - Diamond Platnumz
Hhhhmm
Eti nikuombee mema
Na baraka uzidi fanikiwa
Siwezi kamwe wala hhhhmm
Ni sawa na kuiforce sinema
Kuitazama na haijanivutia
Lazima tu ntalala oooh
Na kwa barabara ukipita
Nenda kulia ukiniona kushoto
Sitaki hata tuonane hhhhmm
Usije wala ukaniita
Donda vilia utanchochea tu moto
Nisije nkutukane hhhhmm
Kinachoniumiza nafsi
Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha
Mwenzangu nje unayatoa
Wewe cement mimi mchanga
Nkasema penzi tujenge lisije loa
Najitia mkandarasi naezeka mabati
Wewe chini kenchi unabomoa
Niache
Niache
Niaache oh niache
Niache
Nipambane na moyo wangu
Niache niiaaa
Niache moyo wangu una hasira
Niaache oh niache
Niache
Oooh oh
Najitahidi nisilale kwenye kitanda
Huenda ntapunguza ndoto zako
Hhhhmm
Mwilini nina machale utadhani mwanga
Yote kuusahau uwepo wako
Hhhhmm
Laiti kama ningekuwa gari
Ningekugonga barabarani
Ama nyuki mtoa asali
Nkung'ate sura wasiitamani
Hivi wewe ungo ulivunja mwali
Ama ulivunja sahani
Kuniundia mateam kwa mitandao
Vijembe vya kazi gani
Kinachoniumiza nafsi
Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha
Mwenzangu nje unayatoa
Wewe cement mimi mchanga
Nkasema penzi tujenge lisije loa
Najitia mkandarasi naezeka mabati
Wewe chini kenchi unabomoa
Niache oooh niachee
Niache mimi moyo wangu una hasira
Niaache tena ukae mbali
Niache oooh niachee
Niache usiwapigie rafiki zangu
Niache usithubutu hata simu yangu
Niaache chonde tafadhali
Niache niiaaa
Iyoo lizer
Hhhhmm
Ntakudanganya kwa tabasamu
Ntakudangany kwa kucheka
Ntakudanganya hata kwa salamu
Ila moyoni nakuchukia
Nitakudanganya kukufollow
Nitakudanganya kucomment
Nitakudangaya kulike picha
Ila siwezi kukuzimia
Mxiuuuuu
- 1 Diamond Platnumz
LRC动态歌词下载
[00:00.00]90听音乐网 www.90T8.com[00:00.24]Niache - Diamond Platnumz
[00:21.00]Hhhhmm
[00:22.38]Eti nikuombee mema
[00:24.68]Na baraka uzidi fanikiwa
[00:28.05]Siwezi kamwe wala hhhhmm
[00:32.67]Ni sawa na kuiforce sinema
[00:35.25]Kuitazama na haijanivutia
[00:38.80]Lazima tu ntalala oooh
[00:43.57]Na kwa barabara ukipita
[00:46.01]Nenda kulia ukiniona kushoto
[00:49.34]Sitaki hata tuonane hhhhmm
[00:54.47]Usije wala ukaniita
[00:56.67]Donda vilia utanchochea tu moto
[00:59.97]Nisije nkutukane hhhhmm
[01:05.07]Kinachoniumiza nafsi
[01:06.54]Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
[01:10.41]Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha
[01:13.42]Mwenzangu nje unayatoa
[01:15.95]Wewe cement mimi mchanga
[01:18.07]Nkasema penzi tujenge lisije loa
[01:21.27]Najitia mkandarasi naezeka mabati
[01:23.99]Wewe chini kenchi unabomoa
[01:25.75]Niache
[01:28.55]Niache
[01:31.20]Niaache oh niache
[01:33.90]Niache
[01:34.35]Nipambane na moyo wangu
[01:36.53]Niache niiaaa
[01:38.88]Niache moyo wangu una hasira
[01:41.86]Niaache oh niache
[01:44.52]Niache
[01:45.39]Oooh oh
[01:58.39]Najitahidi nisilale kwenye kitanda
[02:03.15]Huenda ntapunguza ndoto zako
[02:07.42]Hhhhmm
[02:08.98]Mwilini nina machale utadhani mwanga
[02:13.74]Yote kuusahau uwepo wako
[02:18.24]Hhhhmm
[02:19.87]Laiti kama ningekuwa gari
[02:22.06]Ningekugonga barabarani
[02:25.24]Ama nyuki mtoa asali
[02:27.33]Nkung'ate sura wasiitamani
[02:29.87]Hivi wewe ungo ulivunja mwali
[02:32.79]Ama ulivunja sahani
[02:35.34]Kuniundia mateam kwa mitandao
[02:38.14]Vijembe vya kazi gani
[02:41.03]Kinachoniumiza nafsi
[02:43.07]Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
[02:46.44]Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha
[02:49.55]Mwenzangu nje unayatoa
[02:51.89]Wewe cement mimi mchanga
[02:54.01]Nkasema penzi tujenge lisije loa
[02:57.30]Najitia mkandarasi naezeka mabati
[02:59.98]Wewe chini kenchi unabomoa
[03:01.94]Niache oooh niachee
[03:04.31]Niache mimi moyo wangu una hasira
[03:07.26]Niaache tena ukae mbali
[03:09.99]Niache oooh niachee
[03:12.50]Niache usiwapigie rafiki zangu
[03:15.28]Niache usithubutu hata simu yangu
[03:17.59]Niaache chonde tafadhali
[03:20.54]Niache niiaaa
[03:30.91]Iyoo lizer
[03:33.01]Hhhhmm
[03:34.07]Ntakudanganya kwa tabasamu
[03:37.03]Ntakudangany kwa kucheka
[03:39.76]Ntakudanganya hata kwa salamu
[03:42.56]Ila moyoni nakuchukia
[03:45.09]Nitakudanganya kukufollow
[03:47.76]Nitakudanganya kucomment
[03:50.46]Nitakudangaya kulike picha
[03:53.22]Ila siwezi kukuzimia
[03:55.33]Mxiuuuuu