90听音乐网 www.90T8.com
Nikuone - Diamond Platnumz
Hhhmm
Mangapi niliona
Wala sikujali
Nikafumba macho
Hhhmm
Na tena yaliyonchoma
Maumivu makali
Manyanyaso
Hhhmm
Si mzima wa nafsi
Siwezi kudanganya
Uwepo wako
Unanifanya nalia
Fanya urudi basi
Japo kuntazama
Oh me mwenzako
Ukweli naumia
Kinachiniongeza kizunguzungu
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba mungu
Wallah simanzi
Kinachoniongeza mawazo
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone
Nikuone nikuone
Nikuone nikuone
Nikuone nikuone mama
Ukowapi nikuone
Nikuone nikuone
Nikuone japo nipone
Nikuone niiiikuone
Ooh na roho yangu inaenda
Manjegere manjegere manjegere
Aah roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Nimekukumbuka sana ooh
Manjegere manjegere manjegere
Mwenzio roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Hata silali
Kutwa nzima nawaza
Kisa nini darling
Kama sikukupa raha
Bado sijajua
Namaliza naianza
Nijapo tafakari
Njoo uniwashie taa
Kiza kitaniua
Muda mwingine nakesha tuu macho
Usingizi sina
Ikinijiaga tu sura yako
Huwa nazizizma
Mpaka nashikwa
Kigagaziko hata maneno kuyaongea
Yote sababu ya masikitiko
Haki ya mungu unanionea
Kinachiniongeza kizunguzungu
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba mungu
Wallah simanzi
Kinachoniongeza mawazo
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone
Nikuone nikuone
Nikuone njoo basi nikuone
Nikuone nikuone mama
Ukowapi nikuone
Nikuone nikuone
Nikuone eeh eeh eh nipone
Nikuone niiiikuone
Ooh na roho yangu inaenda
Manjegere manjegere manjegere
Aah roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Nimekukumbuka sana ooh
Manjegere manjegere manjegere
Hhhm me mwenzio roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Hata silali
Niliyoyasikia ya leo
Makubwa
Afadhali ya jana
Makubwa
Huwaga naona kwa video
Makubwa
Aaah ah
Ni mazito mama
Niliyoyasikia ya leo
Makubwa
Afadhali ya jana
Makubwa
Huwaga naona kwa video
Ooh na roho yangu inaenda
Manjegere manjegere manjegere
Aah roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Nimekukumbuka sana ooh
Manjegere manjegere manjegere
Hhhm me mwenzio roho yangu
Manjegere manjegere manjegere
Hata silali
- 1 Diamond Platnumz
LRC动态歌词下载
[00:00.00]90听音乐网 www.90T8.com[00:00.19]Nikuone - Diamond Platnumz
[00:16.59]Hhhmm
[00:17.90]Mangapi niliona
[00:20.29]Wala sikujali
[00:22.17]Nikafumba macho
[00:25.25]Hhhmm
[00:26.37]Na tena yaliyonchoma
[00:28.35]Maumivu makali
[00:30.80]Manyanyaso
[00:33.51]Hhhmm
[00:34.76]Si mzima wa nafsi
[00:36.87]Siwezi kudanganya
[00:38.91]Uwepo wako
[00:40.77]Unanifanya nalia
[00:43.48]Fanya urudi basi
[00:45.26]Japo kuntazama
[00:47.22]Oh me mwenzako
[00:49.20]Ukweli naumia
[00:51.40]Kinachiniongeza kizunguzungu
[00:53.62]Hata huniwazi
[00:55.55]Kutwa nakesha nikimuomba mungu
[00:57.74]Wallah simanzi
[00:59.67]Kinachoniongeza mawazo
[01:01.87]Hata huniwazi
[01:03.91]Kutwa nakesha nikilalamika
[01:05.72]Njoo basi nikuone
[01:07.78]Nikuone nikuone
[01:09.76]Nikuone nikuone
[01:11.67]Nikuone nikuone mama
[01:14.20]Ukowapi nikuone
[01:15.96]Nikuone nikuone
[01:17.95]Nikuone japo nipone
[01:20.02]Nikuone niiiikuone
[01:21.87]Ooh na roho yangu inaenda
[01:23.24]Manjegere manjegere manjegere
[01:25.99]Aah roho yangu
[01:27.45]Manjegere manjegere manjegere
[01:30.08]Nimekukumbuka sana ooh
[01:31.70]Manjegere manjegere manjegere
[01:34.24]Mwenzio roho yangu
[01:35.78]Manjegere manjegere manjegere
[01:39.15]Hata silali
[01:58.08]Kutwa nzima nawaza
[02:00.05]Kisa nini darling
[02:02.28]Kama sikukupa raha
[02:04.36]Bado sijajua
[02:06.35]Namaliza naianza
[02:08.32]Nijapo tafakari
[02:10.78]Njoo uniwashie taa
[02:12.71]Kiza kitaniua
[02:14.71]Muda mwingine nakesha tuu macho
[02:16.64]Usingizi sina
[02:18.83]Ikinijiaga tu sura yako
[02:21.06]Huwa nazizizma
[02:22.79]Mpaka nashikwa
[02:24.12]Kigagaziko hata maneno kuyaongea
[02:27.75]Yote sababu ya masikitiko
[02:29.11]Haki ya mungu unanionea
[02:31.59]Kinachiniongeza kizunguzungu
[02:33.51]Hata huniwazi
[02:35.71]Kutwa nakesha nikimuomba mungu
[02:37.76]Wallah simanzi
[02:39.80]Kinachoniongeza mawazo
[02:42.10]Hata huniwazi
[02:44.09]Kutwa nakesha nikilalamika
[02:45.68]Njoo basi nikuone
[02:47.72]Nikuone nikuone
[02:50.01]Nikuone njoo basi nikuone
[02:52.03]Nikuone nikuone mama
[02:54.20]Ukowapi nikuone
[02:56.19]Nikuone nikuone
[02:57.97]Nikuone eeh eeh eh nipone
[03:00.12]Nikuone niiiikuone
[03:01.64]Ooh na roho yangu inaenda
[03:03.38]Manjegere manjegere manjegere
[03:06.10]Aah roho yangu
[03:07.60]Manjegere manjegere manjegere
[03:10.15]Nimekukumbuka sana ooh
[03:11.77]Manjegere manjegere manjegere
[03:14.37]Hhhm me mwenzio roho yangu
[03:16.21]Manjegere manjegere manjegere
[03:19.35]Hata silali
[03:37.78]Niliyoyasikia ya leo
[03:38.92]Makubwa
[03:39.63]Afadhali ya jana
[03:40.99]Makubwa
[03:41.64]Huwaga naona kwa video
[03:43.27]Makubwa
[03:43.88]Aaah ah
[03:44.47]Ni mazito mama
[03:46.03]Niliyoyasikia ya leo
[03:47.30]Makubwa
[03:48.09]Afadhali ya jana
[03:49.39]Makubwa
[03:50.13]Huwaga naona kwa video
[03:51.74]Ooh na roho yangu inaenda
[03:53.43]Manjegere manjegere manjegere
[03:56.47]Aah roho yangu
[03:57.74]Manjegere manjegere manjegere
[04:00.36]Nimekukumbuka sana ooh
[04:01.86]Manjegere manjegere manjegere
[04:04.30]Hhhm me mwenzio roho yangu
[04:06.13]Manjegere manjegere manjegere
[04:09.53]Hata silali