90听音乐网 www.90T8.com
NITAREJEA - Diamond
Aaaaa
Vipi mizigo umeshaweka tayari tayari
Ummm aaa
Sijechelewa kaja achwa na gari na gari
Umm aaa
Basi jikaze usilie mpenzi mpenzi
Aaaa
Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi enzi
Aaaa
Zile taabu na njaa
Msimu mzima mavuno hakuna
Huwa nakosa raha
Pale mkikosa cha kutafuna
Roho yangu inauma
Sema ntafanya nini
Na pesa sina
Nakuonea na huruma
Bora niende mjini
Kusaka tumaa
Kama watoto wakinililia
Waambie kesho nitarejea nitarejea
Wadanganye na vibagia
Waambie pipi ntawaletea ntawaletea
Kama watoto wakinililia
Waambie kesho nitarejea nitarejea
Nawe usichoke kuvumilia
Na kila siku kuniombea
Wanajua kwamba nafsi na roho
Vitakuwa na wasiwasi
Ukumbuke na moyo utajawa na simanzi
Ntakapokuwa nakwenda shambani
Afu niko peke yangu honey
Ntapokuja kuwa na majirani ntaumia aaah
Pale napotoka kisimani aaa
Ama nipo na kuni kichwani aaa
Sina wakunitua nyumbani ntaliaa
Maneno yako yananfanya
Nakosa raha
Na mawazo
Hata mwenzako sijawahi kufika da
Huu ndo mwanzo
Vile nakwenda na sijui pa
Kukaaa
Wala mavazi ooh
We niombee niepushwe na
Balaa
Na maradhi ooh
Eeee Kama watoto wakinililia
Waambie kesho nitarejea nitarejea
Wadanganye na vibagia
Waambie pipi ntawaletea
Kama watoto wakinililia
Waambie kesho nitarejea
Nawe usichoke kuvumilia
Na kila siku kuniombea
Unapokwenda kama ukifika salama
Utukumbuke na sisi
Usisahau kama mkeo na wana
Umetuacha na dhiki
Vile usijali ila naomba chunga sana
Ogopa na marafiki
Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
Waambie sidanganyiki
Unapokwenda kama ukifika salama
Utukumbuke na sisi
Kumbuka mkeo nyumbani na wana
Umetuacha na dhiki ooh
Vile usijali ila naomba chunga sana
Ogopa na marafiki
Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
Waambie sidanganyiki
Ohh
Ntarejea mama
Niombee nirude salama
Ohhh watoto wadanganye
Ihh
Ohhh ama
Usilie usilie
Mpenzi
Umm kama
Kama watoto wakinililia kama
Waambie kesho
Nitarejeanitarejeanitarejea mama
Wadanganye na vibagia
Waambie pipi ntawaletea mama
Kama watoto wakinililia kama
Waambie kesho
Nitarejeanitarejea mama
Nawe usichoke kuvumilia usicho
Na kila siku kuniombea
Jea ma
- 1 diamond、Ha! Why?
LRC动态歌词下载
[00:00.00]90听音乐网 www.90T8.com[00:00.51]NITAREJEA - Diamond
[00:04.58]Aaaaa
[00:10.34]Vipi mizigo umeshaweka tayari tayari
[00:14.02]Ummm aaa
[00:15.83]Sijechelewa kaja achwa na gari na gari
[00:19.61]Umm aaa
[00:21.33]Basi jikaze usilie mpenzi mpenzi
[00:25.47]Aaaa
[00:26.73]Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi enzi
[00:30.98]Aaaa
[00:32.25]Zile taabu na njaa
[00:34.35]Msimu mzima mavuno hakuna
[00:37.86]Huwa nakosa raha
[00:39.85]Pale mkikosa cha kutafuna
[00:43.40]Roho yangu inauma
[00:45.19]Sema ntafanya nini
[00:46.96]Na pesa sina
[00:48.51]Nakuonea na huruma
[00:50.86]Bora niende mjini
[00:52.47]Kusaka tumaa
[00:54.18]Kama watoto wakinililia
[00:56.43]Waambie kesho nitarejea nitarejea
[00:59.38]Wadanganye na vibagia
[01:01.88]Waambie pipi ntawaletea ntawaletea
[01:05.39]Kama watoto wakinililia
[01:06.99]Waambie kesho nitarejea nitarejea
[01:10.32]Nawe usichoke kuvumilia
[01:12.79]Na kila siku kuniombea
[01:27.51]Wanajua kwamba nafsi na roho
[01:30.16]Vitakuwa na wasiwasi
[01:33.96]Ukumbuke na moyo utajawa na simanzi
[01:39.31]Ntakapokuwa nakwenda shambani
[01:41.96]Afu niko peke yangu honey
[01:44.69]Ntapokuja kuwa na majirani ntaumia aaah
[01:50.17]Pale napotoka kisimani aaa
[01:52.87]Ama nipo na kuni kichwani aaa
[01:55.54]Sina wakunitua nyumbani ntaliaa
[01:59.40]Maneno yako yananfanya
[02:00.84]Nakosa raha
[02:02.35]Na mawazo
[02:05.06]Hata mwenzako sijawahi kufika da
[02:07.90]Huu ndo mwanzo
[02:10.58]Vile nakwenda na sijui pa
[02:12.35]Kukaaa
[02:13.21]Wala mavazi ooh
[02:15.75]We niombee niepushwe na
[02:17.66]Balaa
[02:18.51]Na maradhi ooh
[02:20.88]Eeee Kama watoto wakinililia
[02:23.79]Waambie kesho nitarejea nitarejea
[02:27.19]Wadanganye na vibagia
[02:29.15]Waambie pipi ntawaletea
[02:32.45]Kama watoto wakinililia
[02:34.62]Waambie kesho nitarejea
[02:37.64]Nawe usichoke kuvumilia
[02:40.19]Na kila siku kuniombea
[02:43.29]Unapokwenda kama ukifika salama
[02:46.17]Utukumbuke na sisi
[02:48.80]Usisahau kama mkeo na wana
[02:51.60]Umetuacha na dhiki
[02:54.06]Vile usijali ila naomba chunga sana
[02:57.00]Ogopa na marafiki
[02:59.48]Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
[03:02.41]Waambie sidanganyiki
[03:05.15]Unapokwenda kama ukifika salama
[03:07.99]Utukumbuke na sisi
[03:10.52]Kumbuka mkeo nyumbani na wana
[03:13.34]Umetuacha na dhiki ooh
[03:16.06]Vile usijali ila naomba chunga sana
[03:18.77]Ogopa na marafiki
[03:21.26]Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
[03:24.27]Waambie sidanganyiki
[03:29.46]Ohh
[03:30.81]Ntarejea mama
[03:33.68]Niombee nirude salama
[03:38.58]Ohhh watoto wadanganye
[03:43.40]Ihh
[03:46.01]Ohhh ama
[03:51.75]Usilie usilie
[03:54.28]Mpenzi
[03:56.82]Umm kama
[03:59.61]Kama watoto wakinililia kama
[04:01.77]Waambie kesho
[04:03.11]Nitarejeanitarejeanitarejea mama
[04:05.25]Wadanganye na vibagia
[04:07.32]Waambie pipi ntawaletea mama
[04:10.67]Kama watoto wakinililia kama
[04:13.11]Waambie kesho
[04:13.92]Nitarejeanitarejea mama
[04:15.82]Nawe usichoke kuvumilia usicho
[04:18.31]Na kila siku kuniombea
[04:20.72]Jea ma