90听音乐网 www.90T8.com
Kama unanipenda sana
Umarufu weka mbali
Na ile nyumba ni ya mama
Hivyo usiwaze madale
Isiwe kesho madrama
Pigiwa simu na tale
Eti insta natukanwa
Umeshanzisha kware
Yani moyo wangu
Mwepesi kupenda na mgumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda kinidharau
Moyo wanguuuu
Hodari kugawa wakunipa sina
Moyo wanguu
Ndo maana nasisitiza usije na weee
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Bailaaa mamaaa
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Bailaaa mamaaa
Ah muziki vitaaa hawataki niendelee
Hivyo ukipata nafasi tafadhali niombeee
Na nyumbani visa ndugu zangu wazoeee
Itaniumiza nafsi ikifika musiongee
Na mashemeji kwa ofisi mnapocheka nao
Tahadhari sana
Siunajua wanamuziki vitabia vyao
Wamejawa tamaa
Na dada zangu mawifi chunga nyendo zao
Usipelekwe mrama
Wakikumbia kaniki mara chota nyayo
Jua mumeo na kwama
Utamu wa bigijii nikutafuna
Usimeze rodaaa ongeza tu bidii
Kunikuna sio kuniroga
Kunikomba zaidii pika nguna
Ntaleta mbogaa kunipenda ka hivii
Kwetu suna shushie na soda
Yani moyo wangu mwepesi kupenda mgumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nampenda akinidharau
Moyo wanguuuu
Hodari kugawa wakunipa sina
Moyo wanguu
Ndo maana nasisitiza usije na wee
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila me hoi
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila me hoi
Usiseme love me then u lying
Usiseme love me then u lying aah
Usiseme love me then u lying
Mmmh
Usiseme love me then u lying aahhh
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mamaaa
Baila baila baila
Oooh baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Bailaaa mamaaa
- 1 Diamond Platnumz、miri ben-ari
LRC动态歌词下载
[00:00.00]90听音乐网 www.90T8.com[00:19.23]Kama unanipenda sana
[00:22.09]Umarufu weka mbali
[00:23.74]Na ile nyumba ni ya mama
[00:26.31]Hivyo usiwaze madale
[00:28.65]Isiwe kesho madrama
[00:31.08]Pigiwa simu na tale
[00:33.44]Eti insta natukanwa
[00:36.55]Umeshanzisha kware
[00:38.29]Yani moyo wangu
[00:40.12]Mwepesi kupenda na mgumu kusahau
[00:43.56]Moyo wangu
[00:44.92]Nateseka sana nayempenda kinidharau
[00:48.34]Moyo wanguuuu
[00:49.85]Hodari kugawa wakunipa sina
[00:53.07]Moyo wanguu
[00:54.68]Ndo maana nasisitiza usije na weee
[00:58.02]Baila baila baila
[01:00.47]Baila baila baila
[01:02.85]Baila baila baila
[01:04.71]Bailaaa mamaaa
[01:07.68]Baila baila baila
[01:10.06]Baila baila baila
[01:12.38]Baila baila baila
[01:14.32]Bailaaa mamaaa
[01:27.08]Ah muziki vitaaa hawataki niendelee
[01:32.31]Hivyo ukipata nafasi tafadhali niombeee
[01:36.50]Na nyumbani visa ndugu zangu wazoeee
[01:41.70]Itaniumiza nafsi ikifika musiongee
[01:45.95]Na mashemeji kwa ofisi mnapocheka nao
[01:48.82]Tahadhari sana
[01:50.73]Siunajua wanamuziki vitabia vyao
[01:53.51]Wamejawa tamaa
[01:55.25]Na dada zangu mawifi chunga nyendo zao
[01:58.17]Usipelekwe mrama
[02:00.36]Wakikumbia kaniki mara chota nyayo
[02:03.02]Jua mumeo na kwama
[02:04.91]Utamu wa bigijii nikutafuna
[02:07.83]Usimeze rodaaa ongeza tu bidii
[02:11.25]Kunikuna sio kuniroga
[02:14.44]Kunikomba zaidii pika nguna
[02:17.42]Ntaleta mbogaa kunipenda ka hivii
[02:21.00]Kwetu suna shushie na soda
[02:23.96]Yani moyo wangu mwepesi kupenda mgumu kusahau
[02:29.18]Moyo wangu
[02:30.51]Nateseka sana nampenda akinidharau
[02:33.91]Moyo wanguuuu
[02:35.33]Hodari kugawa wakunipa sina
[02:38.62]Moyo wanguu
[02:40.08]Ndo maana nasisitiza usije na wee
[02:43.64]Baila baila baila
[02:46.08]Baila baila baila
[02:48.37]Baila baila baila
[02:50.45]Baila me hoi
[02:53.31]Baila baila baila
[02:55.68]Baila baila baila
[02:57.86]Baila baila baila
[02:59.98]Baila me hoi
[03:22.86]Usiseme love me then u lying
[03:27.66]Usiseme love me then u lying aah
[03:32.72]Usiseme love me then u lying
[03:36.00]Mmmh
[03:37.22]Usiseme love me then u lying aahhh
[03:41.53]Baila baila baila
[03:43.71]Baila baila baila
[03:45.97]Baila baila baila
[03:47.99]Baila mamaaa
[03:51.01]Baila baila baila
[03:52.41]Oooh baila
[03:53.57]Baila baila baila
[03:55.65]Baila baila baila
[03:57.66]Bailaaa mamaaa