90听音乐网 www.90T8.com
Salome - Diamond Platnumz/Rayvanny
Wasapi
Kioo akidanganyi mama
Umejipodoa umepodoka
Mwendo na shepu vyote mwanana
Mimi suruari yanidondoka
Tukimbizane nini salome wangu
Iyo michezo ya jogoo
Mbona watizama chini salome wangu
Ukimuona jongoo
Inama kidogo shika magoti
Nimesimama kama ngongoti
Mtoto jojo sio roboti
Chumbani bingili bingili sambasoti
Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha
Hoera makulu vane hoera ngambe
Hoera na Zari hoera ngambe
Utamu kolea aprokoto
Ting'ari ting'ari ndani kwa moto
Nitamnyongea msokoto
Niteme sumu kali kama kobokoo
Eeeh Mapenzi yananipa shida
Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba
Tiba bwana usije baby kanicharanga
Kanichambua moyo kama karanga
Mie baby kwenye msambwanda huwa sienda
Ngenge ni nganganga
Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha
Hoera makulu vane hoera ngambe
Hoera na Zari hoera ngambe
Mie mwenzako nyang'anyang'a
Mie binzari we ndo nyanya
Baby kwangwaru
Isimamie kama kangaroo
Ibane kangwaru
Babu Juma mpige kwakwaru
Kwakwaru kwakwa
Chambua kama karanga sasa
Chambua kama karanga
Ichambue kama karanga Salome
Chambua kama karanga
I say washa washa moto washa
Wasa songa songa ugali songa songa
Mpaka chini mpaka chini
Mpaka chini mpaka chini
Wenye wivu wajinyonge leo
Wanye wivu wajiinyonge
Wenye wivu wajinyonge Salome
Wenye wivu wajinyonge
Wenye wivu wajinyonge kweli
Wenye wivu wajinyonge kweli
Wenye wivu jino ke sana
Wenye wivu jino ke sana
Wanakodoa kodo wanakodoa macho kodo
Wanakodoa kodo wanakodoa macho kodo
Wanakodoa kodo wanakodoa uchinga
Wanakodoa kodo wanakodoa wa ksiingo
Wanakodoa kodo wanakodoa
In lies a
In lies a
In lies a
- 1 Diamond Platnumz、Rayvanny
LRC动态歌词下载
[00:00.00]90听音乐网 www.90T8.com[00:00.10]Salome - Diamond Platnumz/Rayvanny
[00:00.88]Wasapi
[00:12.68]Kioo akidanganyi mama
[00:14.76]Umejipodoa umepodoka
[00:16.99]Mwendo na shepu vyote mwanana
[00:19.32]Mimi suruari yanidondoka
[00:21.43]Tukimbizane nini salome wangu
[00:24.03]Iyo michezo ya jogoo
[00:26.03]Mbona watizama chini salome wangu
[00:28.63]Ukimuona jongoo
[00:30.91]Inama kidogo shika magoti
[00:33.81]Nimesimama kama ngongoti
[00:35.81]Mtoto jojo sio roboti
[00:38.03]Chumbani bingili bingili sambasoti
[00:39.62]Unanitekenyaga ukinyonga salome
[00:42.10]Unanitekenyaga ukinyonga
[00:44.37]Unatikenyaga ukinyonga kweli
[00:46.62]Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha
[00:50.02]Hoera makulu vane hoera ngambe
[00:54.52]Hoera na Zari hoera ngambe
[00:58.40]Utamu kolea aprokoto
[01:00.59]Ting'ari ting'ari ndani kwa moto
[01:02.76]Nitamnyongea msokoto
[01:05.11]Niteme sumu kali kama kobokoo
[01:07.39]Eeeh Mapenzi yananipa shida
[01:10.70]Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba
[01:15.41]Tiba bwana usije baby kanicharanga
[01:19.21]Kanichambua moyo kama karanga
[01:21.55]Mie baby kwenye msambwanda huwa sienda
[01:24.53]Ngenge ni nganganga
[01:26.21]Unanitekenyaga ukinyonga salome
[01:28.62]Unanitekenyaga ukinyonga
[01:30.86]Unatikenyaga ukinyonga kweli
[01:33.25]Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha
[01:36.53]Hoera makulu vane hoera ngambe
[01:41.12]Hoera na Zari hoera ngambe
[01:45.22]Mie mwenzako nyang'anyang'a
[01:49.31]Mie binzari we ndo nyanya
[01:53.95]Baby kwangwaru
[01:55.61]Isimamie kama kangaroo
[01:58.43]Ibane kangwaru
[02:00.33]Babu Juma mpige kwakwaru
[02:02.25]Kwakwaru kwakwa
[02:03.42]Chambua kama karanga sasa
[02:05.89]Chambua kama karanga
[02:08.12]Ichambue kama karanga Salome
[02:10.49]Chambua kama karanga
[02:12.64]I say washa washa moto washa
[02:16.21]Wasa songa songa ugali songa songa
[02:21.86]Mpaka chini mpaka chini
[02:24.03]Mpaka chini mpaka chini
[02:27.14]Wenye wivu wajinyonge leo
[02:29.47]Wanye wivu wajiinyonge
[02:31.76]Wenye wivu wajinyonge Salome
[02:34.19]Wenye wivu wajinyonge
[02:36.37]Wenye wivu wajinyonge kweli
[02:38.72]Wenye wivu wajinyonge kweli
[02:40.94]Wenye wivu jino ke sana
[02:43.42]Wenye wivu jino ke sana
[02:45.58]Wanakodoa kodo wanakodoa macho kodo
[02:49.93]Wanakodoa kodo wanakodoa macho kodo
[02:54.68]Wanakodoa kodo wanakodoa uchinga
[02:59.33]Wanakodoa kodo wanakodoa wa ksiingo
[03:04.03]Wanakodoa kodo wanakodoa
[03:26.54]In lies a
[03:27.21]In lies a
[03:27.79]In lies a